![]() |
| |
|
|
||
| ,, | ||||
![]() |
Utafsiri/kinyumbani/kuzoea TLD ina uwezo mkubwa wa kutafsiri michapisho mbalimbali kama vile magazeti ya Africa ya kielimu, magazeti ya jeshi la China, patent za serikali ya Ujerumani kukusu watengenezaji wa dawa, masomo ya kihispanik pamoja na mitandao ya kiserikali. Hakuna kazi kubwa au ndogo TLD. Kwa kila kazi ya kutafsiri, TLD inatumia watu wenye ujuzi mkubwa kutafsiri kwa uhakika pamoja na kuhakikisha kwamba wanafuta maneno na misemo ya lugha hiyo. Serikali yetu na kampuni nyingi zinatumia TLD kwa ajili hiyo. TLD imechukua uongozi kwenye kutafsiri lugha ya kihispaniki bila kujali wahispaniki wametokea wapi. Hii inaiwezesha Federal Trade Commission (FTC) na wizara ya nyumba na usafirishaji (HUD) kuweza kutoa huduma zake bila upendeleo. Kampuni ambazo zinatumia watafsiri wa TLD ni pamoja na: Law Firms:
Federal Agencies:
Local Agencies:
|
![]() |
||
|
| .. | ||||
|
A foundation for your success. |
||||
|
|