IT/Language Collage

Home > Huduma > Kuwekeza Kisasa na Huduma za Kiofisi

Welcome to the Language Doctors website. Chinese German Hebrew Arabic Swahili Spanish English

,,
Language Doctors logo

Kuwekeza Kisasa na Huduma za Kiofisi

TLD inatoa huduma za watu watakao kazi kwa muda mfupi au mrefu kwenye kazi mbalimbali. Ofisi za kibinafsi na zisizo za kifaida zinatutumia sisi ili kuwatafutia watu wenye ujuzi mzuri kwa kazi maalum. Watu hawa wanachagulia kutokana na ujuzi wao, elimu yao, pamoja na upelelezi kwa usalama . Kwa mfano, United States Social Security Administration inatumia TLD kwa huduma za wasomaji maalum kwa watu wasio ona.

Ukitaka mtu yoyote, mwenye ujuzi wowote, jua kwamba TLD itakupa wewe huduma maalum, ambayo ni bei nzuri ili uweze kupata, kuchunguza na kumhajiri mtu yoyote kwa muda mdogo our mrefu. Wafanyakazi wa TLD watakupatia watu kwa muda mrefu au mdogo wakati wowote. Tunakualika uwasiliane na sisi kama unahitaji huduma yoyote.

Professionals

The Language Doctors participates in the following contracting programs:

8(a) Certified • Hub Zone • GSA Schedule Contract #GS-10F-0022K • Local Small Disadvantaged Business Enterprise (LSDBE)

..

A foundation for your success.


The Language Doctors
500 H Street, NE • Suite 300 • Washington, DC 20002 | info@tldinc.org
Phone 202.544.2942 • Fax 202.547.2311