![]() |
| |
|
|
||
| ,, | ||||
|
Kutafsiri TLD inatoa utafsiri wa lugha mbalimbali duniani. Kutafsiri ni kuweza kueleza maneno yanayosemwa kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine. TLD inatoa huduma hizi kwa mfano wakati wa huduma za hospitali, mahakamani, mikutano na mahali popote ambapo utafsiri unahitajika. Pamoja, TLD ina uwezo wa kutoa huduma endapo mtu anahitaji American Sign Language pamoja na huduma kwa wale wasio sikia. TLD inatoa pia vyombo vya kutafsiria kwenye mikutano mikubwa au kwenye mikutano ambayo lugha nyingi zinatumika. Kukodesha vyombo nenda kwa huduma zaidi. Kampuni zinazotumia TLD kutafsiri ni pamoja na: • National Institutes of Health
(NIH)
|
![]() |
||
|
| .. | ||||
|
A foundation for your success. |
||||
|
|