![]() |
| |
|
|||
| ,, | ||||
|
Kukodesha Vyombo vya Kutafsiria Ukodeshaji wa vyombo vya kutafsiria ni njia nzuri na inawezaq kukusaidia ukiwa na mkutano wa size yoyote. Vyombo vya sauti pamoja na headset vinatumika kwenye mikutano inayohitaji watu kutembea kutoka sehemu moja mpaka nyingine. Vyombo vya Kutafsiria vya TLD ni pamoja na:
Vipaza sauti na vipoke sauti vinaweza kuwa kwenye frequencies mbalimbali ili visiingiliane na radio our mawasiliano mengine.
Zaidi ya kutafsiri lugha za nchi za nje, vyombo vyetu vinaweza kutumika kuwasaidia watu wasio sikia vizuri na vinaweza kutumika pale penye sauti nyingi ambazo zinaingiliana na vyombo vya mawasiliano. Tupigie simu TLD tuongee kuhusi bei na mahitaji yako. Nenda hapa kuona picha na maelezo ya vyombo vya kutafsiria.
|
![]() |
||
|
| .. | ||||
|
A foundation for your success. |
||||
|
|