IT/Language Collage

Home > Huduma > Wafundishaji wa Lugha na Wasaidizi

Welcome to the Language Doctors website. Chinese German Hebrew Arabic Swahili Spanish English

...
Language Doctors logo

 

 

 

 

Wafundishaji wa Lugha na Wasaidizi

TLD ina uwezo wa kufundisha lugha kampuni au watu binafsi. TLD inatoa huduma za lugha kwa mtu pekee au kwa group ya wanafunzi. Inatoa pia huduma za lugha kama vile Turkmen na Uzbek kwa jeshi la ndege la Marekani. Wasiliana na TLD kuhusu lugha au masomo unayotaka.

Masomo ya kibinafsi kwa group our watu pekee yanapatikana hapa Washington, DC pekee. TLD imekuwa ikitoa masomo ya pekee kwa watu wote kwa miaka 10 sasa. TLD itahakikisha kwamba unapewa mtu ambaye lugha unayosomea ni lugha yake ya kwanza. Kama unaenda kutembelia nchi za nje, unajiandaa kuchukua mtihani, our unataka tu kusoma lugha nyingine, TLD ina uwezo wa kukupatia masomo ya kibinafsi kuweza kwenda na muda wako.

Masomo ya Kibinafsi
Kwa masomo ya kibinafsi ya kihispanik, Kijerumani, Kifaransa, Kiharabik, Kichina, Kivietnamese, Kirusi our lugha yoyote, fungua form hizi kama WORD or PDF





The Language Doctors participates in the following contracting programs:

8(a) Certified • Hub Zone • GSA Schedule Contract #GS-10F-0022K • Local Small Disadvantaged Business Enterprise (LSDBE)

..

A foundation for your success.


The Language Doctors
500 H Street, NE • Suite 300 • Washington, DC 20002 | info@tldinc.org
Phone 202.544.2942 • Fax 202.547.2311