IT/Language Collage

Home > Huduma > Website na Huduma za Michoro

Welcome to the Language Doctors website. Chinese German Hebrew Arabic Swahili Spanish English

,,
Language Doctors logo

Website na Huduma za Michoro

TLD inatoa huduma mbalimbali za mtandao na michoro ya kisasa. Tuatoa huduma za kuweza kuwajulisha wateja kuhusu biashara yako. Tunaweza kukusaidia kibiashara ili kuwavutia wateja wengi. Tunatengeneza brochures pamoja na menu za chakula. Tunaweza kukusaidia kutayarisha, kuandika proposals zenye michoro ya kisasa. TLD inatumia mashine mpya za kisasa ili kuhakikisha kuwa wateja wako wanafurahi. Kama una mpango wa kubadilisha website yako, wasiliana na sisi. Tutakaa na kuongea na wewe na kukutengenezea website ambayo itakusaidia kibiashara. Huduma hii inatolewa na TLD na

Capitol Hill Studio            and            MMagination Inc.

Angalia bei yako hapa

Spider Web

 

The Language Doctors participates in the following contracting programs:

8(a) Certified • Hub Zone • GSA Schedule Contract #GS-10F-0022K • Local Small Disadvantaged Business Enterprise (LSDBE)

..

A foundation for your success.


The Language Doctors
500 H Street, NE • Suite 300 • Washington, DC 20002 | info@tldinc.org
Phone 202.544.2942 • Fax 202.547.2311