| Kuhusu
TLD
Ahadi
Madocta wa Lugha wako tayari kukupa usahidizi wa hali
ya juu ambao hautaupata popote. TLD ina zaidi wa watu 1000 nchi mbalimbali
tunafanya kazi nao. Watu hawa wamechaguliwa kwa elimu yao, masomo ya juu
na vyeti walivyonanyo pamoja na kupass uchunguzi wa polisi kama kunahitajika.
TLD ina heshima ya juu kwa kuwasaidia wateja wake ndio sababu watu tunaofanya
nao kazi wanarudi tena ili tuwasaidie. Kuona hii list nenda www.clients
Vigogo wa Lugha
TLD inafanya uchunguzi mkubwa ili kuweza kuwapata watu wenje elimu ya
juu kutafsiri. Watafsiri wa TLD wana vyeti kutoka umoja kama wa American
Translators Association (www.atanet.org),
wengi wana degree na wamefanya kazi ya kutafsiri kwa muda mrefu pamoja
na kufundisha lugha mbalimbali. Wengi wanaweza
kuongea maja ya lugha hizi.
|